Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

uchungu/dk za mwisho kama ile mechi ya kwanza na Real Madrid.
 
There's only one invincible team in England Football history..GUNNERSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS. Other teams can try to join the invincible's men club next season. Until then shut up.
 
Teh teh. Wapo ila wanaugulia maumivu

watakuja na maneno ya mkosaji hivi punde tu, tena kuna wengne nawaona povu limeanza kuwatoka hapa, refer post kadhaa hapo juu na zinazofuata utakubaliana nami
 
aliyesema kutangaza mwenyewe alikuwa anaonyesha bias za wazi!!!!
 
There's only one invincible team in England Football history..GUNNERSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS. Other teams can try to join the invincible's men club next season. Until then shut up.

mambo vipi mkuu? Nakusalimia.
 
Back
Top Bottom