Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
au niseme nimeshakusend off
ila mwenye mume ameshaelewa hana tatizo na hilo
hakuna cha big ni mzee wa lubisi anataka tukale tu bata hapo south
sasa ameona atachomokaje kwa wakeze akina Kongosho, The secretary na wengineo wengi kama saccos

Umenihand over kwani nimekuwa gari Mamndenyi
Si nimeona mwaliko wako wa kwenda big buraza aise
Last edited by a moderator: