mamndenyi for next Big Brother......

mamndenyi for next Big Brother......

Na mkisha oana? Ndo muishi kwako keko magurumbasi choo passport size? Mtoto Lady doctor njoo mambo iko huku masaki kwa bilionea bishanga!
kwangu keko ndio hapa
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • keko.jpg
    keko.jpg
    31 KB · Views: 96
  • keko2.jpg
    keko2.jpg
    32.5 KB · Views: 99
  • keko3.jpg
    keko3.jpg
    19.6 KB · Views: 102
  • keko4.jpg
    keko4.jpg
    17.1 KB · Views: 82
  • keko5.jpg
    keko5.jpg
    20.2 KB · Views: 22
  • keko6.jpg
    keko6.jpg
    17.6 KB · Views: 75
  • keko7.jpg
    keko7.jpg
    19.4 KB · Views: 79
Kweli Mamndenyi jiandae, huenda tutakuwa wote huko Big Brother maana nami naanza mchakato, nimeshawaweka wanaofanya usaili kwenye screen ya asili, lazima nishinde mchakato wa kwenda huko.....
 
Last edited by a moderator:
Yale yaleeeee ya kusubiria meli airport,utasubiri sana niachane na darling The secretary..... Mr Rocky wastara hazumbuki wa mbili havai moja.....wa kupata ni wa kupata tu,mi na mke wangu The secretary until death do us apart......habari ndo hiyo!
Copy waione Erickb52 na Arushaone...........keep distance from my wife au la andaeni kucha kunyofolewa....last warning meeeeen!

nani kasema til death thubutu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
baby Lady doctor wewe ule ushibe,na maneno Bishanga waseme usijali wavimbe wapasuke,mimi nawe,waambie wote wajue,hatuna mchezo,mpaka ndoa ifungwe

tatizo lako wewe unapenda kutoa show za bure ndio maana hupati hela, hiyo singo uliyoimba hapo juu hukutakiwa uiimbe burebure bana umetaja jiina la mheshimiwa ujue
 
Last edited by a moderator:
Ile siku wanalipua hakika ni MUNGU tu kwani nilipotoa mguu ndipo lilipoanguakia na waliofariki nilikuwa nao awali. Napanga tu siku nikatoe sadaka.

duh... Aiseee.... Kumbe ningekupoteza hivihivi kamanda wangu, pole sana
 
Back
Top Bottom