Umepona kweli..!!!? halijakufanya "nzuri" !???
shost niliamka kwenda kukojoa nikakutana na hili li big brother kwa toi ndiyo nikaamua kulikemea kishambenga lol!!!!!!!
Kigezo cha kushindia ni nini!!?? aende na list ya akina Bishanga, Arushaone, Vin Diesel, Mr Rocky, Mwita Maranya, mandieta et al!??!! labda kwa kigezo hicho....
lol!! Ngoja liamke tuje kulikemea vizuri
limeamka, tuanze sasa kulikemea
Nakoswakoswa na bomu na risasi hata hunijulii hali mpenzi? Una roho ngumu sana. Mzima wewe?
kweli kabisa..nisingependa kukuona ukitendwa wanayotendwa kule mjengoni..ni hatari
wee kule ni noma
hakufai sana tu
kule vijana ndo kunawahusu.