Wanatumia traditional methods in weather forecasting.Utabiri wao ni wa kubahatisha tuu siwaamini sana,tusubiri
Serikali Haina ubavu wa kupambana na janga hilo ndomana Wameona Acha ije n'a sisi raia Tupambane n'a hali hiyo,hakuna ushauri wowote kwa wakulima au lengo la tangazo ni taadhari zaidi.
Utabiri hewa wa hali ya hewaHii Idara haijawahi kuwa na uhakika wa tabiri zake kufikia kiwango cha kuaminiwa...!
Sijui wanatumia vifaa gani ku-calculate hali ya mambo....
La msingi, wote wanaoishi maeneo hatarishi, ni vyema wakachukua tahadhari mapema.
ha ha ha mkuu ndio kinachoendeleaKama nawaona wanavoombea inyeshe utabiri wao utimie. DSM mpaka saa moja hii ya usubuhi jua kama kawa.
Hiki ni kipimo cha elimu vichwani mwetu. Utabiri wa hali ya hewa ni ubashiri wa kisayansi ambao siyo lazima utokee nyumbani kwako na kwenye nyumba yako. Nchi hii ni kubwa, so mvua inaweza isinyeshe Dar but ikanyesha mikoa mingine ya ukanda wa pwani. Kwa taarifa yenu, uwezekano wa mvua kunyesha Dar es Salaam huwa ni mdogo sana kulinganisha na a Mkoa wa Tanga, vivyo hivyo ilivyo nguvu mvua kunyesha Tanga kulinganisha na Visiwa vya Unguja na Pemba.Utabiri wao wa Jana wamechemka,jua la kufa mtu,walidanganyika walivyoona mawingu Jana.
Kama ni leo ngoja niage kabisa home