utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Hizi ramli hizi najua asaiv wamekaa ofisin muda wote wanachungulia mawingu
Hizi ramli hizi najua asaiv wamekaa ofisin muda wote wanachungulia mawingu
Ha ha ha ha umenichekesa sana MkuuKama nawaona wanavoombea inyeshe utabiri wao utimie. DSM mpaka saa moja hii ya usubuhi jua kama kawa.
si mvua ya kilimo mkuu hiyo tena huko shamba mabondeni nduo usiende kabisa siku hiyo kama huna mpango wa kucheza singeli na mamba,viboko nkhakuna ushauri wowote kwa wakulima au lengo la tangazo ni taadhari zaidi.
Watabiri ninaowakubali ni wale wa Marekani tuu maana wanaweza kukutabiria hata mvua itakayonuesha uani kwako.
View attachment 621426
Hata mwaka jana walitabiri mvua kubwa mwezi Na Tarehe hizi hizi,wakasema utaanza saa kumi.HAIKUNYESHA
Natabiri mwakani watatoa utabiri km wa jana. Ningekuwa Na mamlaka ningeshauri tutumie watabiri Wa hali ya hewa wa ulaya.
Wetu wakafundishe geography
hahaha na kashamba mjini huku mtaani hakapo ktk mkondo wa maji na maji huchelewa kukauka.si mvua ya kilimo mkuu hiyo tena huko shamba mabondeni nduo usiende kabisa siku hiyo kama huna mpango wa kucheza singeli na mamba,viboko nk
mkuu ukiweka mimea inang'olewa ,hizi ni mvua za kujifungia ndani na kupanda mbegu za kibinadamu ikifika september si vichanga hivyo mtaani,kila nyumba kelele za ng'aaa ng'aaa!!hahaha na kashamba mjini huku mtaani hakapo ktk mkondo wa maji na maji huchelewa kukauka.
nilidhani kama hizo vulimasika zinaweza kusaidia ili nitie mmea ktkt ya majanga hayo tarajiwa.