Mamlaka ya hali ya hewa yatahadharisha ujio wa mvua kubwa kuanzia 31 Oktoba

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
TMA.jpeg
 
hakuna ushauri wowote kwa wakulima au lengo la tangazo ni taadhari zaidi.
Serikali Haina ubavu wa kupambana na janga hilo ndomana Wameona Acha ije n'a sisi raia Tupambane n'a hali hiyo,
Madaraja yatazidi kungokaaa na lile la mbezi beach liliyongoka ambapo wametengeza kwa kuweka kifusi kifusi kitaondoka chote ....pale udart jangwani patageukaaa kisiwaaaa n'a Magari yote yageuka mitumbwi....

Ova
 
Hii Idara haijawahi kuwa na uhakika wa tabiri zake kufikia kiwango cha kuaminiwa...!

Sijui wanatumia vifaa gani ku-calculate hali ya mambo....

La msingi, wote wanaoishi maeneo hatarishi, ni vyema wakachukua tahadhari mapema.
Utabiri hewa wa hali ya hewa
 
Utabiri wao wa Jana wamechemka,jua la kufa mtu,walidanganyika walivyoona mawingu Jana.
 
Utabiri wao wa Jana wamechemka,jua la kufa mtu,walidanganyika walivyoona mawingu Jana.
Hiki ni kipimo cha elimu vichwani mwetu. Utabiri wa hali ya hewa ni ubashiri wa kisayansi ambao siyo lazima utokee nyumbani kwako na kwenye nyumba yako. Nchi hii ni kubwa, so mvua inaweza isinyeshe Dar but ikanyesha mikoa mingine ya ukanda wa pwani. Kwa taarifa yenu, uwezekano wa mvua kunyesha Dar es Salaam huwa ni mdogo sana kulinganisha na a Mkoa wa Tanga, vivyo hivyo ilivyo nguvu mvua kunyesha Tanga kulinganisha na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Tusipoamini utalaam tutaamini nini sasa wakati mambo mengine ndiyo ngumu kuyaamini? Na mkumbuke na wao wameweka hata asilimia za utabiri wao ambao licha ya kuwa kiwango cha juu zaidi bado umechezea asilimia 80% pekee.
 
Back
Top Bottom