TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,661
- 23,643
SwadaktaKujiamini ndio nguvu kubwa kwenye Jambo lolote au sehemu yoyote na ukiwa na yoyote ..... confidence...,..
Jana Gwajima kamaliza na kila kitu amekiweka wazi kifupi kasema hakuna uchaguzi
Uchaguzi upigwe ila hauna uhalali, tangu tupate Uhuru ni uchaguzi gani mkuu uliwahi kususiwa kama huu?Ila usisahau kuwa kidole kimoja hakivunji chawa.... Akiwa gwajima peke yake Hata aongee Nini uchaguzi utapigwa tu labda wananchi tuweke mgomo kwa pamoja Kama wakenya.
Hatima ya taifa na wananchi wanyonge wasioweza kupaza sauti kwenye nyumba yao wenyew na kumuacha mgeni wa visiwani huko kuwa peleka anavyotaka......Uchaguzi upigwe ila hauna uhalali, tangu tupate Uhuru ni uchaguzi gani mkuu uliwahi kususiwa kama huu?
Bado, amesema anaenda ila atarudi tena..... CCM hawaaminiJana Gwajima kamaliza na kila kitu amekiweka wazi kifupi kasema hakuna uchaguzi
Ona ulivyo mpumbavuHana lolote zaidi ya kuweweseka tu .kama angekuwa na issues sensitive sana angeongea sasa sio kusema hadi siku kumi.
Kwa hiyo ule wa 2025 ulikuwa halali?Uchaguzi upigwe ila hauna uhalali, tangu tupate Uhuru ni uchaguzi gani mkuu uliwahi kususiwa kama huu?
Ona ulivyo mpumbavu