OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,238
- 103,913
Huyu mzee ni chizi kweliTaarifa ya habari TBC imeonyesha kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa DSM.
Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.
My Take: Haaa haaa Aisee
Kama ilivyo boko haramuJeshi la Polisi limekuwa kundi la genge la uhalifu kwa niaba ya viongozi walioko madarakani
Mambosasa hafikiri zaidi ya pua yake, Mambosasa amejaa chuki dhidi ya CHADEMA. Chuki ndiyo inafanya ashindwe kuelewa au kutambua kuwa Zitto na Mbowe licha ya kuwa walikuwa wabunge lakini ni viongozi wa kitaifa wa vyama vyao, hivyo wayaishi yalipo makao makuu ya vya vyao, Polisi Morogoro waliwahi kumkamata Zitto kwa kufanya siasa kwenye jimbo ambalo si lake, Zitto ni kiongozi wa chama chake sasa hao polisi walitaka Zitto afanye shughuri za chama chake Morogoro akiwa Kigoma! Walifanya vile kumkomoa tu.Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.
Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.
My Take: Haaa haaa Aisee