Mambosasa: Waliobeba mabegi Vituo vya Kupigia Kura walitoka Mikoani, walipanga baada ya kupiga kura warudi

Duu tutasubiri saana maendeleo tukiwa na upeo kama hawa.
Ni hatari kwa Taifa.
Maendeleo gani mnataka wakati nyie mnata uhuru na haki ya kubinua viuno.
Maendeleo ya vitu ili mpate maendeleo ya watu mmekataa sasa mnapinga kauli ya mgombea wenu?
 
Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.

Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.

My Take: Haaa haaa Aisee
Amesahau kiusema kuwa hayo mabasai ya mikoani ambayo kawaida yanaondoka saa 12 asubuhi siku hiyo yaliwasubiri hadi walipomaliza kupiga kura ndio yakaondoka!

Ukiwa muongo basi usiwe mjinga!
 
Hivi huyu Mambosasa ndio kipindi kile alisema risasi ilipigwa juu ikashuka chini ikakata kona na kumpiga Akwilina
 
Hapo yamekutana kwenye virabu vya pombe ya kienyeji yakaulizA wee yakapata jibu hili jepesi la kijinga la kuja kutuambia wananchi.
 
Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.

Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.

My Take: Haaa haaa Aisee
Hivi wewe unatania au haya ni kweli? Kama kweli amesema haya basi watanzania wenzangu ndio tujuwe sasa ni vipi viongozi wetu na wakuu wetu wa polisi wanavyotudhania. Wanaamini kabisa kuwa ni wajinga na kila wanachotwambia tunaamini bila ya kuuliza au kupima ukweli wake, dah!
 
Mambosa Muogope Mungu!

Back
Top Bottom