Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.
Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.
My Take: Haaa haaa Aisee
HahahahahahahaBasi zile walikutwa nazo ni tiket za mabus!!!
Mambo SASA baada Tu ya kupiga Kura siku ya tarehe 28 akiongea na waandishi alidai wananchi wamechagua maendeleo. Unaweza jua jukumu la Magu kushinda lilikua mikononi mwake yeye na tume ya Mahera.Makada wasimamizi walikuwa na Kura zao, polisi wakahakikisha zimeingia kwenye masanduku. Halafu hawa mbwa wanaziita nu uchaguzi.Aliyeuliza sijui kama alidhamiria au ni bahati mbaya kamtega Mambosasa.
Anayetakiwa kujibia maswala ya uchaguzi ni Mambosasa au Mahera? Mtego easy Mambosasa kauvagaa.
Jibu rahisi lingekua "Bado tunachunguza" au "Sina mamlaka ya kujibia uchaguzi"
HahahahahahahaNchii hii inatakiwa iwekwe kwenye maajabu 7 ya dunia.
Yeye alikamata wangapi wakampa taarifa hiyo?Kwahiyo kama walitoka mikoani!?
Kuna wazee nawaonea huruma sana. Kama huyu sijui Mambo nini? Akistaafu huyu atakuwa mganga wa kienyejiTatizo la kulazimisha kuisemea siasa wakati hana taaluma hiyo!
Hahahahahaha.....Kuna wazee nawaonea huruma sana. Kama huyu sijui Mambo nini? Akistaafu huyu atakuwa mganga wa kienyeji
Nikifikiriacho mimi huenda Mambosasa ni dalali wa kupatanisha dau ambalo serikali itawapa wapinzani ili wasiandamane. Njia nzuri ni kuwakamata na kufika bei wakitoka wamepoa na chao mfukoni.Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.
Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.
My Take: Haaa haaa Aisee
Ilo nalo neno. Wanasiasa wetu sio wakuwaamini..nilitegemea baada ya dhamana wangeongea, kuna kitu wamekubaliana, na hata ili lakureport tarehe 5 ni mpango jamaa aapishwe salama.Nikifikiriacho mimi huenda Mambosasa ni dalali wa kupatanisha dau ambalo serikali itawapa wapinzani ili wasiandamane. Njia nzuri ni kuwakamata na kufika bei wakitoka wamepoa na chao mfukoni.
Kinachonifanya ni amini hivyo ni huu ukamataji wa kiboyaboya anaoufanya mambosasa. Eti mtu yupo Mbeya kasema atsandamana kamanda wa dar ndio anataka kukamata. Hii ni janja ya kuwaita na kufika nao bei maisha yaende
Imeisha hiyo. Tuliposema kuwa 2020 tunatafuta upinzani wa kijinga hamkutuamini. Imeisha hiyoTaarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.
Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.
My Take: Haaa haaa Aisee
TanPol ni 0.Hii ngoma sifuri kichwani, ana mtindio au nini
Nachokihisi wanasiasa wote wanaoonekana wameumizwa na matokeo haya watafika bei tu dalali mambosasa yupo. Toka lini polisi wakaenda studio ya habari na mtuhumiwa kukiri kosa. Yeyote mwenye ushawishi wa watu anapesa zake. Muda utaamuaIlo nalo neno..wanasiasa wetu sio wakuwaamini..nilitegemea baada ya dhamana wangeongea,kuna kitu wamekubaliana,na hata ili lakureport tarehe 5 ni mpango jamaa aapishwe salama.
Tatizo letu watanzania tumekosa ukweli, uongo ndiyo umekuwa msingi wa maisha yetu. Baba hazungumzi ukweli wala mama hazungumzi ukweli na watoto nao ni waongo, majirani ndiyo kabisa, waliyopewa madaraka hawana ukweli, viongozi wa dini nao halikadhalika, hivyo unatarajia nchi itakwenda vipi?Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.