Mambosasa: Waliobeba mabegi Vituo vya Kupigia Kura walitoka Mikoani, walipanga baada ya kupiga kura warudi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,770
102,120
Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.

Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.

My Take: Haaa haaa Aisee
 
Na waliokuwa na kura kwenye mabegi na vikapu walizichapisha wenyewe kwa ajili ya kufanya majaribio ili wasikosee siku yenyewe itakapofika. Huu uchaguzi wa Kodivaa ni mgumu kweli.
 
Taarifa ya habari TBC imeonyesha kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa DSM.

Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.

My Take: Haaa haaa Aisee
Huyu mzee ni chizi kweli
 
Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.

Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro Mambosasa amedai kuwa watu waliokuwa wameenda na mabegi kwenye kituo cha kupigia kura walikuwa wametoka mikoani hivyo walipanga baada ya kupiga kura warudi mikoani.

My Take: Haaa haaa Aisee
Mambosasa hafikiri zaidi ya pua yake, Mambosasa amejaa chuki dhidi ya CHADEMA. Chuki ndiyo inafanya ashindwe kuelewa au kutambua kuwa Zitto na Mbowe licha ya kuwa walikuwa wabunge lakini ni viongozi wa kitaifa wa vyama vyao, hivyo wayaishi yalipo makao makuu ya vya vyao, Polisi Morogoro waliwahi kumkamata Zitto kwa kufanya siasa kwenye jimbo ambalo si lake, Zitto ni kiongozi wa chama chake sasa hao polisi walitaka Zitto afanye shughuri za chama chake Morogoro akiwa Kigoma! Walifanya vile kumkomoa tu.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom