Mambo yakutesana unapo join form1 bweni

Mambo yakutesana unapo join form1 bweni

Chalii umepitia huko nini mwaka Gani vile ulitoroka kuwa mtumishi?

second half ya 90's...mmh watumishi Ilboru mkuu!!, labda miaka ya nyuma kabla sijakuwepo hapo.
Hayo nimetaja (Rungwe na Oldonyo) ni majina ya mabweni huko ndio form 1 wengi walikuwa wanaswekwa.
 
Yaani nimechekaje?
Bahati yangu sikukutana na bullying manake nilivyo mjeuri mbona ningewafukuzisha shule wababe wote. Nikichomoka tu hapo brek ya kwanza kwa mwalimu mkuu. Wangenunajeeee?

Naona umewaza kirahisi rahisi tu...shule ungeondoka mwenyewe maana hata hao wakuu wa shule hawajali yanayoendelea!!
 
nakumbuka kuna dogo alikuwa bonge /njuka akawa anapiga mkwara eti babake kamanda wa polisi kinondoni kwa hakuna wa kumfanya kitu walimwagia urojo wa biogas usiku kama ndoo nane alivyoamka huo usiku hakurudi tena

Hahahah...sisi tushawahi mwekea -----' kwenye njuka mmoja pia...ilikua ni balah maana dogo alivimba mwili mzima, sitasahau!
 
Hii imenikumbusha old moshi sec kuna mbabe mmoja alizuia shule nzima kwenda kwenye chakula peke.
Halafu siku hiyo ilikua siku ya wali maharage...chezea ubwabwa ww!!
 
Aaah ligi mtindo mmoko. Unamjua mzee Mtambuzi wewe? Angekuja na huyo mwalimu mkuu angeipata fresh!
Naona umewaza kirahisi rahisi tu...shule ungeondoka mwenyewe maana hata hao wakuu wa shule hawajali yanayoendelea!!
 
Last edited by a moderator:
nilitinga bwenini frm 1 na godoro la sufi basi bweni zima wakanizunguka eti frm1 kaja na maiti hahaa dah sijui km haya mambo bd yapo!

Mambo hayo hayapo ndo maana madogo wanakuwa mabwege..,wadudu wakiwa kwny maharage form1 mnalo mtapigwa nyie na kuulizwa kwanin mmejificha kwny maharage?
 
Poleni mliosoma boarding, mwanangu hawezi soma boarding hata siku 1.
 
kwa tuliosoma kilimanjaro miaka ya tisini ilikuwa mkiingia wanafunzi mia moja baada ua likizo ya pasaka wanarudi hamsini wengine mambo yanawashinda.
 
second half ya 90's...mmh watumishi Ilboru mkuu!!, labda miaka ya nyuma kabla sijakuwepo hapo.
Hayo nimetaja (Rungwe na Oldonyo) ni majina ya mabweni huko ndio form 1 wengi walikuwa wanaswekwa.

Okay mkuu nimekupata mi nikajua ulikacha oldonyo sambu seminari kwenye kazi ya utumishi
 
Mambo hayo hayapo ndo maana madogo wanakuwa mabwege..,wadudu wakiwa kwny maharage form1 mnalo mtapigwa nyie na kuulizwa kwanin mmejificha kwny maharage?

Hahaaaaaaaa!
 
Daaaaaaahh saudari umenikumbusha mbali enzi zile mi nilpewagwa mkwara tokea niko mtaani sijaanza form one,nilikutana na jamaa mmoja aliyakuwa form two na akajua kuwa nilikuwa nimechaguliwa pale shuleni kwao loooohh usipime kanipigisha bonge la mkwala afu nilivyoingia kwa shule sasa akakuta mi mwenyewe uso wa mbuzi,kiburi kama nimechanjiwa ilibidi jamaa akubali kushindwa na mpaka leo ni full heshima.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom