Kama ilboru vile??
hapo ukute sox inatoa uvundo wa kama panya aliyeoza
nilitinga bwenini frm 1 na godoro la sufi basi bweni zima wakanizunguka eti frm1 kaja na maiti hahaa dah sijui km haya mambo bd yapo!
Hahaha Rungwe au Oldonyo?
hapa wapi?![]()
Uelekeo anaoelekea huyo mwanafunzi ndipo lilipokuwepo class langu la Form I A...
Huo uwanja ingawa ulikuwa ni wa parade, lakini ulikuwa ndio class Area yangu wakati fulani...
Halafu ukileta za kuleta, mwalimu mmoja alikuwa anaitwa Losujack Ole Ngavuti a.k.a Chifu, atakugaragaza hapo uwanjani...
Hapo dogo anasubiri kuwapigia simu wazazi....hicho kiatu ndio una-mock kama simu vile
Ulikua unadumisha mila au?