olng'ojine
Senior Member
- Dec 2, 2010
- 121
- 12
TOD hakuwepo?
![]()
Uelekeo anaoelekea huyo mwanafunzi ndipo lilipokuwepo class langu la Form I A...
Huo uwanja ingawa ulikuwa ni wa parade, lakini ulikuwa ndio class Area yangu wakati fulani...
Halafu ukileta za kuleta, mwalimu mmoja alikuwa anaitwa Losujack Ole Ngavuti a.k.a Chifu, atakugaragaza hapo uwanjani...
Mjengo wa kikoloni kudaadeki... Hapo mjumba una karne na zaidi lakini bado umesimama imara.
mkuu kuna utesaji wa aina nyingi kuna mwingine ni very technical kiasi kwamba hata uende kwa mkuu huwezi pata msaada au hawezi fukuzwa yeyote,Ungeibiwa mali zako kila siku sijui ungeshtaki kwa nani na ungekuwa unafanyiwa fitina za kila ainaYaani nimechekaje?
Bahati yangu sikukutana na bullying manake nilivyo mjeuri mbona ningewafukuzisha shule wababe wote. Nikichomoka tu hapo brek ya kwanza kwa mwalimu mkuu. Wangenunajeeee?
Hiyo shule yako haipo katika orodha za watesaji full stop na kwa bahti mbaya katika utesaji heri uwe mdogo kuliko ukafika shule kibabe in few days ubabe wako unapotea kabisa na kama una bro wako hapo ye hadeal na wewe ila watu wengine so anadeal na wewe in directlyHaaaaaahaaaaaahaaaaaa swahiba naona sasa tunaelekea kuaibishana tu na ulivyo mkorofi sikuzote!sa niseme ukweli upi tofauti na huo niliousema?Afu nilikuwa na kiburi kwa sababu baba yangu alikuwa keshaniambia yeyote akinichikoza bila sababu atadeal naye perpendiculary kwa hiyo fulll makujiamini.
jamani wote mtasema ila mwanafuzi yyte aliyesoma Karatu sec enzi za mkuu wa shule WILLIAM MKANGWA nampa shkamoo. k
yap kabla ya tosa alikuwa KARATU SEC.Mkangwa aliyekuwa Tosamaganga??????
WJK Mkangwa??
yap kabla ya tosa alikuwa KARATU SEC.
Hahaha Rungwe au Oldonyo?
One of the good headmasters i ever seen
Hiyo shule yako haipo katika orodha za watesaji full stop na kwa bahti mbaya katika utesaji heri uwe mdogo kuliko ukafika shule kibabe in few days ubabe wako unapotea kabisa na kama una bro wako hapo ye hadeal na wewe ila watu wengine so anadeal na wewe in directly