Mambo yakutesana unapo join form1 bweni

Mambo yakutesana unapo join form1 bweni

enzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.

sura yangu ilikuwa nafanana na jamaa mmoja alipita kwenye hiyo shule alikuwaga bandidu ni kinoma! Washkaji waliponiona wakaamua kunitesa wakijua mimi ni mdogo wake. Loh! Ila nilipofika form two watoto walinitambua. Nakumbuka tulikuwa tunakimbia mchaka mchaka mkifika mbele mnaacha njia wazi wapite katikati, kichapo watakachopata lazima walegevu waache shule maana ni dozi ya kila siku.
 
enzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.

Unapewa sh. Ishirini ukalete mkate, sigara paketi moja, kibiriti na chenchi urudishe!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Nakumbuka kuna dogo alininyima maandazi nikampa azabu apige simu kwa wazazi wake kwenye shimo la choo kwa kuingiza kichwa.
 
Nakumbuka enzi hzo kuna njuka alikuja kuanza form one,tulimpa tocha za kufa mtu mpaka tukamvunja mkono, kumbe hatukujua ni mtoto wa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mjini.
Unajua nini kilitokea....
Jibu unalo.
 
Inaelekea na nyinyi mlikuwa na tabia ya kunea wenzenu shuleni.
 
<-- perpertual day scholar. sikuziona dorm hadi nilipofika UDSM

Unamaanisha hayo mambo hayakuwaga Dom?
Naamini kila pande ya hii nchi haya mambo yalikuwepo ila kwasasa yamepungua kama sio kuisha kabisa.
 
Sasa ivi shule za Bord zimekuwa za lelemama!
 
Ilambo hakuna twisheni enzi hizoo tulikuwa tunaitwa njuka ila mimi waliniogopa sababu ma bro zangu walifukuzwa pale skul.
Ukifika mwezi wa tisa(mwezi dume)lazima form moko wote mkatwe mkia........dah!
 
Siku wanayokuja form one wote usiku wa manane lazima wakatwe mkia bweni zima kwa kutembezewa kipigo cha chaga na mikanda wakati taa imezimwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nashukuru Mungu mimi nilipoingia form one , nilikuwa mwanafunzi mwenye umri mdogi kuliko wote , I was 12 years old , nikatokea kupendwa na watu wote kuanzia wanafunzi mpaka walimu ,udogo wangu ukanipa umaarufu na nilikuwa najua kimombo ile mbaya maana nilikuwa nimesomea nchi jirani , kwa kweli EVERY ONE LOVED ME , huwa natamani niendelee kuwa form one.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
enzi za form one boarding miaka hiyo ilikua ni mateso sana sitaki kurewind mkanda kabisa naweza lia machozi hapa kwa jinsi nilivyosota loh ukizingatia nilikuwa mdogo jumlisha utoto sina hamu.
ngoja nikurudishe nyuma
 
Yaani nimechekaje?
Bahati yangu sikukutana na bullying manake nilivyo mjeuri mbona ningewafukuzisha shule wababe wote. Nikichomoka tu hapo brek ya kwanza kwa mwalimu mkuu. Wangenunajeeee?
 
Uliwahi lala godoro limemwagiwa maji kisha likatandikwa vixuri?

nakumbuka kuna dogo alikuwa bonge /njuka akawa anapiga mkwara eti babake kamanda wa polisi kinondoni kwa hakuna wa kumfanya kitu walimwagia urojo wa biogas usiku kama ndoo nane alivyoamka huo usiku hakurudi tena
 
Back
Top Bottom