Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Uko wapi mkuu??hivi ni mimi ndo sijaelewa ni ni nyama ya aina gani au mwakaboko nimeanza kupatwa na wasiwasi lol!!!Mboga hiyo tabu kuipata, Kiongozi. Nimefuatilia nimegundua mtu akitaka kuchinja, mnyama anaisha akiwa hai, umeona. Yaani kabla hajachinjwa kaisha, sasa sisi wengine ambao ni wageni kupata hiyo mboga ni shida!!!!
Last edited by a moderator: