Mambo ya zanzibar hayo

Mambo ya zanzibar hayo

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
~ huo mlango ndo " zanzibar door" bei yake ni balaaa
~House of wonder ndo ulipo
Je unajua kwanini pakaitwa house of wonder?
 

Attachments

  • 1430053492559.jpg
    1430053492559.jpg
    61.6 KB · Views: 1,355
A a.....hatujui kwa nini pakaitwa hivyo........hebu tueleze..........
 
Huyu nikimpata namlisha mdudu kudadadeki!!
Ataelewa tu utamu wake
 
Bujibuji tiririka history ya znz mkuu
Nasikia lilijengwa kwa vichwa vya watumwa
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kwenye sahani na ndizi dah, tunatoana udenda jamani
 
Haya bana!!
Nadhani amekuelewa, labda awe mbishi. Mimi huyu ndg kanikera, maana amesababisha nimeumia moyoni kwa kunitamanisha mboga ambayo naipenda halafu haipatikani huku niliko. Inauzwa kama madawa ya kulevya!!! mara ukisikia imechinjwa ukiuliza wapi unaambiwa umechelewa!!!! mbona imeshaisha muda mrefu uliopita!!!! Sasa ni mwaka wa tano sijala hii mboga. mboga hii imekuwa adimu kweli
 
House of wonder sababu ndio ilikuwa mwangaza wa Afrika iliokuwa gizani
 
Nadhani amekuelewa, labda awe mbishi. Mimi huyu ndg kanikera, maana amesababisha nimeumia moyoni kwa kunitamanisha mboga ambayo naipenda halafu haipatikani huku niliko. Inauzwa kama madawa ya kulevya!!! mara ukisikia imechinjwa ukiuliza wapi unambiwa mbona imeshaisha!!!! Sasa ni mwaka wa tano sijala hii mboga.
Hakuna firigisi huko ulipo mkuu?
 
Hakuna firigisi huko ulipo mkuu?
Mboga hiyo tabu kuipata, Kiongozi. Nimefuatilia nimegundua mtu akitaka kuchinja, mnyama anaisha akiwa hai, umeona. Yaani kabla hajachinjwa kaisha, sasa sisi wengine ambao ni wageni kupata hiyo mboga ni shida!!!!
 
Back
Top Bottom