Mambo ya Wikilink | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya Wikilink

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Planner, Dec 6, 2010.

 1. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Najaribu kufikiria sakata zima la wikilink jinsi linavyoendeshwa and then nalinganisha na mfumo wetu wa dola ulivyo hapa kwetu and then najaribu kulink na demokrasia. Assange ambaye ni mmiliki wa huo mtandao pamoja na kudaiwa kumiliki kinyume cha sheria classified documents za USA, Bado anakula GOOD time pale UK, polisi wanataarifa za mahali alipo lakini hawawezi kumkamata bila Arrest Warant kutoka kwao, Sio Mchezo! Huyu jamaa laiti kama angalikuwa TZ, mida hii angekuwa Segerea anauguza maumivu ya virungu vya FFU, Hebu tujadili demokrasia na utendaji wa vyombo vyetu vya usalama hapa
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Dec 6, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kuna mambo makubwa,tuna mfumo dhaifu wa kiintelijensia.Nimeangalia wasifu wa wanadiplomasia wa Marekani TZ pamoja na Balozi wa Marekani hapa,but still kuna kazi special amepewa kuja kuifanya TZ....nashangaa viongozi wetu hawshtuki tu muda wote.Wajiulize kwa nini Hugo Chavez alikataa kupokea credential Letter ya baloz wa marekani Carcas,Venezuela!
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Ni WIKILEAKS mkuu...rekebisha title
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Habari nzuri lakini jaribu ku-proofread kabla ya kuposti...
   
 5. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Thanks mkuu niliipost bila proof reading
   
 6. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #6
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mimi sishangai sana

  hivi hujui kuwa mitandao ya Net KWA BONGO ndiyo iliyofumua masuala ya EPA,RICHMOND NK

  Ila tatizo ni kuwa mtandao huo umefumua mambo ya wakubwa wa dunia(USA) hivyo lazima tuone kioja

  Sisi tanzania tulianza zamani
   
 7. M

  Matarese JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu Demokrasia kwa nchi nyingi za Afrika sio Tanzania tu, ipo kwa kiwango kidogo sana tena labda kwa kulazimishwa na Mataifa makubwa. Afrika ni sehemu ambayo mwenye pesa au madaraka/mamlaka anaweza fanya chochote anachotaka kwa maskini/asiye na madaraka. Hii ni kwa sababu wengi wa viongozi waliopo madarakani barani Afrika wapo kwa ajili ya maslahi yao tu! hakuna kingine! (ubinafsi uliokithiri!) kwa hiyo wapo tayari kufanya lolote kulinda maslahi yao. Si umecheki mwenyewe nn kinaendelea Ivory Coast!. THIS IS AFRIKA!
   
 8. B

  Batale JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,070
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ni kweli mkuu angekuwa Mtanzania angekuwa kashafutiliwa mbali. Mkumbuke Mtz aliyedaiwa kumiliki ZE UTAMU ilisemekana alikamatwa lakini mpaka kesho hakuna taarifa sahihi na yuko wapi washamfuta labda, ambapo mtaalamu kama huyo alipaswa atumike na watu wetu wa intelligencia kwa manufaa ya taifa lakini wao nafikiri walinyongelea mbali ilihari hawana wataalamu kama jamaa.

   
Loading...