Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Jamaa kaenda kwa mpenzi wake, amefika katuta kufuli mlangoni, kaamua kumpigia mpenzi wake.
jamaa: hi cwty mambo?
Demu: pouwa my luv
Jamaa: uko wapi mamy
Demu: niko home nimelala
Jamaa: vipi unaumwa?
Demu: no nimepumzika tuu,
Jamaakey baby i luv u..
Demu: luv u too
jamaa kaamua kukaa pale mlangon hadi ilipofika saa nne usiku Demu anakuja Jamaaa kaishia kumwangalia tuu then akaondoka bila hata ya kusema neno. Demu alipo ajui afanye nini ukizingatia anampenda sana jamaa na anadai ni shetani tuu aliyesababisha hayo.. naombeni ushauri wenye busara ili niweze mshauri huyu mdada... asanten
Hapo kwa red kaka mhhh....anampenda na ndio maana akaenda kwa msela mwingine...SHETANI ALIMPITIA SASA huyo shetani si atakuwa anampitia kila siku tuuuu...mwambie aachane naye hana maana huyo...