hii avatar ya nleta mada
Tena watoto wanaokula hiyo kitu huwa hawaugui hovyo, jaribu wewe wa Masaki uone...Aponi mtu apo
Nayo imekaa kiswahili swahili kama mada ya vitumbua aliyoileta
Hivi vitumbua huwa vinakuwa vitamu nyinyi hamjui tu...
Hapo anapika na kuuza vitumbua karibu na mlango wa choo,kwa kweli mungu anatusitiri sana
Tena watoto wanaokula hiyo kitu huwa hawaugui hovyo, jaribu wewe wa Masaki uone...