Kuna baadhi ya watanzania ambao hawauoni uchafu kama kero.Hali hii inaonekana wazi katika baadhi ya vitongoji vya Dar.Watu wanaishi na kula vyakula vyenye uchafu katika maeneo machafu.uswazi bila kipinduindu....
Nyie watoto wa kota acheni kujishaua hapa.Hivo vimaji maji vya chooni vikirukia ndo vinazidi utamu
Nyie watoto wa kota acheni kujishaua hapa.
Mtuwache, hivyo ndivyo vilivyotukuza na tuko fiti ile ile haina cha afya mgogoro wala kipindipindu hiyo.
Sikumbuki maishani mwangu mara ya mwisho niliumwa lini
Pamoja ....Mkuu unamwambia nani sasa wakati mimi ndo nimeenda kununua hapo..na nkasema mungu anatustiri sana tu