Mambo ya uswahilini hayo

Mambo ya uswahilini hayo

Msijidanganye na kujipa moyo, huko uswahilini watu wanakufa kila siku na sababu za vifo hazijulikani, tena wengi wanaondoka bado wadogo tu. Katika tembea yangu yote, sijawahi kuona misiba kama Tanzania.
uzunguni hawafi au siyo?
 
Mweeeee Avatar hii uuuwi! inasikitika kulikoni? ipe haki yake!!!
 
Mkuu kuugua wote wanaugua sawa sema wa Masaki wana mpaka daktari wa Familia, mtu akiugua mafua check up Aga khan kama sio India wakati uswahilini Daktari Mungu.

Kinga ni bora kuliko tiba, tujaribu kuangalia na mazingira tunayoishi pia, kwa mfano tu kula vitumbua chooni ni hatari sana.
 
happiness win
Samahani huyo mdudu hana jina hebu jitahidi angalau tumjue jina maana sisi bado tupo shule na huwenda akawepo kwenye mtihani wa shule
 
Last edited by a moderator:
Samahani huyo mdudu hana jina hebu jitahidi angalau tumjue jina maana sisi bado tupo shule na huwenda akawepo kwenye mtihani wa shule



anaitwa ubuntuX. Si mdudu ni mnyama. Anazalisha mbegu. Anaishi kichochoroni. Anakula vitumbua.
 
Last edited by a moderator:
anaitwa ubuntuX. Si mdudu ni mnyama. Anazalisha mbegu. Anaishi kichochoroni. Anakula vitumbua.
Makazi yake ni vichochoroni na kwenye mapango yenye giza na harufu tofauti tofauti, hana miguu lakini akiona adui huwa anasimama na kutema sumu kali ambayo ikimpata mtu inaweza kumfanya avimbe kwa miezi kadhaa mara nyingi haizidi miezi 9 mwathirika anapona bila kutumia dawa.
 
Back
Top Bottom