RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,450
- 139,368
Utam wake kama nini vile...?.
Kama vitumbua original...!
Utam wake kama nini vile...?.
Kama vitumbua vizuri mimi hata sasa hivi naenda nunua hapo.
Vimetukuza hivyo na wala havijawahi kutudhuru hata siku moja
Mkuu mimi nimemshangaa sana mleta mada wakati yeye mwenyewe amekuzwa na viazi vya kuvumbikwa kwenye majivu na maji ya kunywa meupe kama maziwa tena binadamu unachota hapa mifugo inakunywa upande wa pili.
Utam wake kama nini vile...?.
Kama vitumbua original...!
Hapo anapika na kuuza vitumbua karibu na mlango wa choo,kwa kweli mungu anatusitiri sana
Bongo kuna sheria lakini huwa hazifuatwi tunajifanyia tunavyo taka bora maisha yaende mbele.Serius??kuna sheria hiyo?
Samahani huyo mdudu hana jina hebu jitahidi angalau tumjue jina maana sisi bado tupo shule na huwenda akawepo kwenye mtihani wa shule
anaitwa ubuntuX. Si mdudu ni mnyama. Anazalisha mbegu. Anaishi kichochoroni. Anakula vitumbua.
Hapo anapika na kuuza vitumbua karibu na mlango wa choo,kwa kweli mungu anatusitiri sana
Halafu kuna muda ukienda huvikuti vimeshaisha na asubuhi foleni yake huiwezi.Tulio kulia vitumbua hivyo na viporo kumbe tupo wengi.
happiness win
Hii ni picha ya Kichwa cha nanihii ahh Sitoweza kusema kuna watoto wapo macho usiku huu kazi kweli ipo hapo.
Halafu kuna muda ukienda huvikuti vimeshaisha na asubuhi foleni yake huiwezi.
Kweli kabisa vimetukuza vyote hivyo ulivyovitaja. Hapo kwenye kiporo mpaka naona raha mimi nilikuwa nikiwa na haraka sihitaji kiporo kilichopashwa kikitoka kwenye friji napeleka cha baridi hivyo hivyo, hapo ya moto chai ndio inayoenda kuzimua huko tumboni