Mambo ya Sikukuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya Sikukuu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Afrika Furaha, Dec 27, 2010.

 1. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sikukuu za Christmas na Boxing Day zimeisha. Wengine wamejirusha na family zao marafiki ndugu na jamaa, wengine ndoa zimevunjika, wengine wamekamatwa kwa fujo, wengine wametolewa bikira, wengine wamefumaniwa, wengine wameambukizwa, wengine wamelala mtaroni, wengine wamepoteza maisha . . . Sasa tusubili New Year 2011
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wengine wamebakwa,wengine wamebambikiwa kesi...............
   
 3. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuh wapo waliobakwa?
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa kalewa sana wamem-do
   
 5. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wengine Yesu Kristo kazaliwa mioyoni mwao na wameacha ulevi, umalaya, sigara, ujambazi na mifarakano kwenye ndoa zao wamekuwa watu wapya na wanafurahia maisha mapya ya kiroho na amani imetawala mioyoni mwao.
   
 6. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wengine wamekuwa wababa na wamama bila kutarajia...
   
 7. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mamaaaaaaaa! duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Weweeeeeee! sema kweli???! Yaani wamesubili kalainika wakampachika majembe?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi mamsapu wangu kalala rumande kesi leo dah
   
 9. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamezalishana au? Maana kama ni mimba, kuzaa ni mpaka mwakani?
   
 10. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmefumaniana??
   
 11. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pauline jina lako tamu sana. Sio kuwa sijawahi kulisikia, ila hilo jina linanikuna sana hata nikilitamka. Natamani nioe mwanamke wa jina hilo
   
 12. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jabal l akhdhar???
   
 13. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilijua lazima Nilham Rashed ajibu . . . . lakin nimesema ukweli, kuliko kuficha
   
 14. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nijibu nini sasa?? Au nimefanya kosa kuchangia na mie??? Basi i'm so sorry... Mi spendi kuudhi mtu..
   
 15. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Noooo! Nooooo! Nooooo! Plse NILHAM RASHED, nakuomba usinisuse my dia. Nipo chini ya miguu yako (ila sikuchungulii). Sijamaanisha unaniudhi, nilimaanisha utani tu, pengine lugha yangu hujaielewa. Ungesikia sauti ungejua nakutania. AM SORRY KWA KUKUFANYA UJISIKIE KUKWAZIKA. AM REAL SORRY. I LOVE YOU
  jAbAl-
   
 16. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HHAAAAAAAA WEWE???? HEE HEE KAZI IPO TAYARI KUSHAKUCHA,,, :A S 109: :pray2:
  :A S 109:
   
 17. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  OOOHO!!!! Pole Fidel, mitihani hio, Bro, usijali utaweza!!!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Great thinker my ....!Enhe na na vipi starehe yako kama unavyoiita inafit MMU??Kua uache!
   
 19. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mabinti wa kiarabu mnakuwa wazuri sana, halafu hamtofautiani urembo. Sijui ingekuwaje mgeruhusiwa kushiriki Miss World?
   
 20. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ndo x mas bwana, ajali , ugomvi ulevi na mashokoro mengine mengi kibao
   
Loading...