Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,242
- 61,159
Hahahahaha hata mawigi?biashara yoyote inayohusu KE ndiyo hulipa zaidi
Sent from my SM using Tapatalk
Hahahahaha hata mawigi?biashara yoyote inayohusu KE ndiyo hulipa zaidi
Mungu AtunusuruHATARI SANA.
Hiyo picha imeniongezea minyege tuu....😔😔😔
Kabisa. Sababu ukiifikiria cheni anayoitengeneza mganga ni kubwa sana.Mungu Atunusuru
Na hao wajinga wa hivyo kama huyo mdada wapo tu kila siku, yaani miaka na miaka hawakosekanagiKabisa. Sababu ukiifikiria cheni anayoitengeneza mganga ni kubwa sana.
Na hawawezi kuisha Ses Na hapo moyo wake burdaaani anajua dawa inaingia kumbe ni magonjwa yanaingia. Imani hizi. Ziniepuke tu kwa kweli.Na hao wajinga wa hivyo kama huyo mdada wapo tu kila siku, yaani miaka na miaka hawakosekanagi
Hapo hata kinga hakuna maana dawa lazima iingie moja kwa moja bila kizuizi na huwezi sema walienda pima kwanza maana wenyewe sio wapenzi kusema wanafanya kwa starehe. Mwisho wa siku mtandao wa magonjwa unaongezekaNa hawawezi kuisha Ses Na hapo moyo wake burdaaani anajua dawa inaingia kumbe ni magonjwa yanaingia. Imani hizi. Ziniepuke tu kwa kweli.
ndio maana akeHahahahaha hata mawigi?
Sent from my SM using Tapatalk
ndio maana akeHahahahaha hata mawigi?
Sent from my SM using Tapatalk
Mbona Kuwa MwanaCCM ni Uganga tosha, vipi unataka Zaidi upi?
Tuheshimiane mimi na ccm wapi na wapiMbona Kuwa MwanaCCM ni Uganga tosha, vipi unataka Zaidi upi?
@Kasie: Dawa ninayo mimi ya kuondoa hiyoHiyo picha imeniongezea minyege tuu....[emoji17][emoji17][emoji17]