Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Jul 9, 2015 #21 hali mbaya said: Mkuu angalia, performance haipimwi na wewe Click to expand... Kaka confidence ndio mpango mzima. Kama ujiaminiamini lazima uuze mechi kila siku, halafu ukae ukijua sisi tunatoa msaada upande wa pili kwa 70% tu zilizobaki wajiwezeshe wenyewe. Ikitokea akiwa goigoi atashia kuwa kiburudisho mara zote.
hali mbaya said: Mkuu angalia, performance haipimwi na wewe Click to expand... Kaka confidence ndio mpango mzima. Kama ujiaminiamini lazima uuze mechi kila siku, halafu ukae ukijua sisi tunatoa msaada upande wa pili kwa 70% tu zilizobaki wajiwezeshe wenyewe. Ikitokea akiwa goigoi atashia kuwa kiburudisho mara zote.