Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Thomas Sankara yuko wapi? Sylvanus Olympio yuko wapi? Afrika bado ni ile ile jana, leo na kesho haijabadilika hadi Dahari.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Gadafi kauliwa lumumba kauliwa sankara kauliwa... chuma kipya kimeibuka Bulkinabe! Harakati haiji kuisha
Naitwa mtwa mkulu raisi mtarajiwa wa tanganyika kwa sasa naongoza walambwa wote jamii forum
 
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wa-iran Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wewe, kwa kugubikwa na Udini wewe ndyo maana hauoni mantiki ya maamuzi yake kuvunja uhusiano na Israel. Nyerere hata hao Wapalestina, ambao wengi ni Waislam haeatamsahau Nyerere kwa utu wake na kujali haki za binadamu. Aliwafukuza Waisrael kwa sababu walikuwa wanawanyanyasa Wapalestina.
Udini wako unakugubika mbaka unashindwa kujua kuwa Kimataifa Vatican na hata Palestina zimepewa na Umoja wa Mataifa hadhi ya States. Hivyo nchi zote zisikokuwa na mawazo taka ya Uislam kama wewe Zina uhusiano wa Kibalozi na Vatican na Palestina. Ni kwambie tu kuwa Saudi Arabia na Iran pia Zina uhusiano wa Kibalozi na Vatican.
Uliisha sikia lini Vatican ikajikita kwenye siasa za Udini maji taka kama hayo Mataifa yenu ya kiarabu? Kutwa zinakuja chini ya mwamvuli wa kusaidia Tanzania kumbe Wana ajenda ya kuchipua mamiskiti; tunaona yanavyochipua kama uyoga kila mahali.
Nafikiri watu kama wewe it's only a matter of time tutakukuta ikiwa naakundi ya kigaifi Msumbiji au Somali.
 
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wairan Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
5. Pamoja na kuwa mkatoliki mzuri kwenye miaka ya 1970 alitaifisha shule na vyuo vingi vilivyokuwa vinamilikiwa na Kanisa Katoliki na kuvifanya mali ya Umma hadi leo!
 
Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?

Sema alivunja Uhusiano na Israel kwa sababu ya ukandamizaji kwa Wapalestina.

Na kwa kukumbusha tu yeye alikua Mkristo.... Na kwa kuongezea tu hakuna Kiongozi wa Kiislam anayeweza kufanya alichofanya Nyerere.
Akiiandika kwa kina si atakuwa amemsifia Nyerere wakati lengo lake ni kuonesha kuwa Nyerere alikua mwovu sana.
 
Wewe, kwa kugubikwa na Udini wewe ndyo maana hauoni mantiki ya maamuzi yake kuvunja uhusiano na Israel. Nyerere hata hao Wapalestina, ambao wengi ni Waislam haeatamsahau Nyerere kwa utu wake na kujali haki za binadamu. Aliwafukuza Waisrael kwa sababu walikuwa wanawanyanyasa Wapalestina.
Udini wako unakugubika mbaka unashindwa kujua kuwa Kimataifa Vatican na hata Palestina zimepewa na Umoja wa Mataifa hadhi ya States. Hivyo nchi zote zisikokuwa na mawazo taka ya Uislam kama wewe Zina uhusiano wa Kibalozi na Vatican na Palestina. Ni kwambie tu kuwa Saudi Arabia na Iran pia Zina uhusiano wa Kibalozi na Vatican.
Uliisha sikia lini Vatican ikajikita kwenye siasa za Udini maji taka kama hayo Mataifa yenu ya kiarabu? Kutwa zinakuja chini ya mwamvuli wa kusaidia Tanzania kumbe Wana ajenda ya kuchipua mamiskiti; tunaona yanavyochipua kama uyoga kila mahali.
Nafikiri watu kama wewe it's only a matter of time tutakukuta ikiwa naakundi ya kigaifi Msumbiji au Somali.
huyo wewe hujamwelewa, huyo ana ubaguzi wa kimadhehebu na anawaponda sana wakatolik
NB: nahisi atakuwa msabato maana ndivyo walivyo
 
mzee wenu wa rufiji ndiye aliyetupoteza economiccally kwa sera zake za ubepari uchwara.....je una chuki na nyerere au ukatoliki wake sheikh?
Una umri gani!?..waulize wazee wako maisha yalikua mazuri kipindi Cha mzee wa rufiji au mzanaki!?..hujui chochote kuhusu sabuni za gwanji,sukari guru na kupanga foleni kununua unga siyo!?..mzanaki raia walikua wakitembea viraka vitupu matakonni,ukiwa na redio tajiri
 
1...nakubali alitumia Sana decree

3...wairani ,walikosea walitakiwa wajenge shule Sana na vituo vya afya (huduma zamsingi kusali hata kwenye miti tungesali) ,wakatolic ilikuwa nilazima yeye mwenyewe alitokea tabora ambapo ni tawi la Vatican(mishenari)

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Mwalimu alisoma Tabora shule ya Serikari. Haikuwa ya missioni.
 
Mangi naona umeamua kuamka na Nyerere kisa?
..alikataa ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapelestina. Hilo ndio hoja kuu uliyokusudia kuandika.

ChAdeMa mmeshakula dhambi ya chuki za udini,ukanda na ukabila. Hiki chama kinafaa kifutwe.
 
Back
Top Bottom