Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Una umri gani!?..waulize wazee wako maisha yalikua mazuri kipindi Cha mzee wa rufiji au mzanaki!?..hujui chochote kuhusu sabuni za gwanji,sukari guru na kupanga foleni kununua unga siyo!?..mzanaki raia walikua wakitembea viraka vitupu matakonni,ukiwa na redio tajiri
1992 tanzania ilifikia point ya kutokukopesheka...unalijua hili? narudia tena...........je una chuki na nyerere au ukatoliki wake?
 
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wairan Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mia Kwa mia.Watu wanashindia vilaka harafu wanashangilia kama sio uzombie ni nini 😆😆
 
Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?

Sema alivunja Uhusiano na Israel kwa sababu ya ukandamizaji kwa Wapalestina.

Na kwa kukumbusha tu yeye alikua Mkristo.... Na kwa kuongezea tu hakuna Kiongozi wa Kiislam anayeweza kufanya alichofanya Nyerere.
Naona umemwambia kwa Msisitizo ungepigia mstari kwamba 'hakuna kiongozi wa kiislamu ataekaa upande wa Vatican'
 
Kuna baadhi ya familia hakuzigusa kwny Azimio la Arusha kama Familia ya Mbowe na Rupia

Alivunja uhusiano na Israel hadharani lakini kwa siri siri alikuwa anapeleka vijana kujifunza ujasusi

Alivunja uhusiano na Uingereza 1965 kupinga azimio lao la kutambua utawala wa wachache Zimbabwe lakini bado waliendelea ku Finance budget ya Nchi yetu na kuratibu mafunzo ya kijeshi kwa Vikosi vyetu

Alikuwa Mfuasi wa Ujamaa na Ukomunist lakini alipewa jukunu na CIA kuzuia Znz isitumbukie kwny Siass za Kikomunist

alikuwa akijitambulisha kama Mwanachama wa Nchi zisizofungamana na Upande wowote ( Non aligned Movement ) lakini Nchi yetu ndio ilikuwa kitovu cha kuendesha mafunzo ya kivita yaliyokuwa yakifadhiliwa na Urusi na CUBA

Pamoja na kujitambulisha kuwa ni Mjamaa mara M NAM, kwny vita ya Kagera tulipokea msaada mkubwa sana wa Mabepari kumtoa madarakani Dikteta Iddy Amin Dada

alithamini sana amani lakini Vita vyote vya Kusini mwa jangwa la Sahara viliratibiwa Dar es salaam

Alipigania Uhuru na haki Dunia nzima lakini Nchini mwake kauli zake ndio zilikuwa sheria na Bill's of Human rights aliziweka Kwny Katiba mwaka mmoja kabla hajaondoka madarakani japo alitawala kwa miaka 24
 
Alipenda sana Africa iungane ila alikata kuungana kwa Africa nzima kwanza alipenda regional integretional kwanza ili yeye ndo apewe uraisi wa Africa mashariki, wa Africa nzima Nkrumah alikua na umarufu kumzidi, lakini hakupenda madaraka!!!!!!
 
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wairan Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
itoshe kusema huu si uzi bali ushuz
 
1992 tanzania ilifikia point ya kutokukopesheka...unalijua hili? narudia tena...........je una chuki na nyerere au ukatoliki wake?
1985 mwinyi anaingia hazina hakuna kitu,Mugabe anatupiga tafu,anafanya reform ya uchumi ili tukope,wananchi hawazalishi kwa kuwa kufanya hivyo ilikua ulanguzi na uhujumu uchumi,watu wakitupa pesa na Mali porini kipindi Cha mzanaki,unategemea mwinyi angepata wapi pesa ya kuendeshea nchi!?..kutokopesheka maana yake uzalishaji wenu hauwezi kulipa deni,unadhani nani alipaswa kulaumiwa kwa tz kutokopesheka!?
 
rubbish..........je una chuki na nyerere au ukatoliki wake?
 
Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?

Sema alivunja Uhusiano na Israel kwa sababu ya ukandamizaji kwa Wapalestina.

Na kwa kukumbusha tu yeye alikua Mkristo.... Na kwa kuongezea tu hakuna Kiongozi wa Kiislam anayeweza kufanya alichofanya Nyerere.
Factos
 
  • alivunja EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY ambacho kilikuwa chama cha waislam kikubwa ndani ya East Africa
  • alipiga marufuku vyama huru vya ushirika na Vyama huru vya wafanyakazi
  • Alituingiza kwenye vita ya Uganda.
Alivunja serikali za mitaa 1980s akabakisha serikali kuu. Wafadhili Scandinavians wakambana hadi akarejesha serikali ya mtaa. Alikuwa dictator Magufuli cha mtoto.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?

Sema alivunja Uhusiano na Israel kwa sababu ya ukandamizaji kwa Wapalestina.

Na kwa kukumbusha tu yeye alikua Mkristo.... Na kwa kuongezea tu hakuna Kiongozi wa Kiislam anayeweza kufanya alichofanya Nyerere.
Kuvunja uhusiano na Israel lilikuwa ni azimio la Non aligned Movement kwa Nchi Wanachama wote nae akazuga kuvunja hadharani akaendeleza Mahusiano kisiri siri …Siasa as kinafiki za Nchi hii zimeanzia mbali sana
 
Back
Top Bottom