Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Mimi sioni Nyerere anahukumiwa kwa lipi kati ya hayo uliyosema! Mfano, Nyerere hakuwa na chembe chembe zo zote za udini.
 
Huku pwani unakuta watu wanaswali kwenye bonge la msikiti lakini wakipata homa utawakuta wamebanana kwenye zahanati kituo Cha afya au hospitali ya aidha kkt au Roma halafu wapoleee utadhani wamenyeshewa mvua subir akisha kamilisha dozi na kupona usikilize shudu anazoshusha vivyo hivyo hata shule.
Sasa tazama akili ya mleta mada yaani mtu kasoma madrasa miaka 30 halafu anatka kuwa mchambuzi wa siasa utopolo mtupu
 
Ulivyokuwa huna akili unawashangaa hao angalau wamepata akili ya kwenda Zahanati wakati huo umetoka kwa Mchungaji akuombee upone Tatizo la Goti wakati huo yeye katoka Marekani kutibiwa Goti kwa kutumia michango yako uliyompa akuombee upone Maradhi ya goti
 
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wairan Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ndio aliwakumbatia wapalestina maana walikuwa walokole wenzake
 
1. Dhehebu lipi linaweza kutoa rais Tanganyika? Ukatoliki na Uislamu au?

2. Hakuweka mfumo wa Fair play. SMZ haina dini kikatiba, lkn Mkristo wa dhehebu gani anaweza kuwa rais wa Zanzibar? Lini? Jaji Ramadhani alikuwa na sifa zote lakini jina lake liliishia Kamati Kuu tu huko.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wazanzibar ni wadini kupita kiasi
 
Aliwapa Waislamu chuo cha Tanesco Morogoro wafanye chuo kikuu chao.

Magufuli aliwajengea Makao Makuu ya BAKWATA.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Alijistukia baada ya kuwapa wagalatia shule zaidi ya kumi za umma kua vyuo vikuu vya kikristo akajipapatua kuwapa waislam majengo kuu kuu ya Tanesco morogoro kua chuo kuhusu makao makuu ya bakwata hakujenga magufuli ni mfalme wa Morocco alitoa pesa yake kufanya hivyo

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom