Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,619
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wairan Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nyerere alikuwa mdini hii mpya kabisa kuisikia. Alikuwa mdini kwa dini gani dogo ?
Ez1bHOSVcAEzXNX.jpg
 
Mwl. Nyerere pia alikuwa na mambo ya kushangaza aliyofanya yasiyoshikiwa bango zama hizi:-

1. Mawazo yake yalifanana pia na ya Nduli Dikteta Idd Amin Dada kwenye kutetea Wapalestina.

2. Alikuwa na udini pia pale alipovunja uhusiano na Israel na kukumbatia uhusiano na Holy See.

3. Alifukuza Wa-iran Ifakara baada ya kugundua hawatekelezi mradi wa kilimo cha mpunga na badala yake wanaotesha misikiti. Lakini aliendelea kukumbatia Vatican ambayo haikuwahi kujenga hata kilometa 1 ya barabara ya muram lakini wakiotesha makanisa makubwa yenye minara kama mlima Kilimanjaro na yenye kuchukuwa maeneo makubwa ya ardhi.

4. Viongozi wote wana dini na udini pia. Fair play ikoje hapa?

Kumbe wakati fulani jana inafanana na leo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mbona hiyo namba 2 umeiweka Kinyonge...!?

Sema alivunja Uhusiano na Israel kwa sababu ya ukandamizaji kwa Wapalestina.

Na kwa kukumbusha tu yeye alikua Mkristo.... Na kwa kuongezea tu hakuna Kiongozi wa Kiislam anayeweza kufanya alichofanya Nyerere.
 
1...nakubali alitumia Sana decree

3...wairani ,walikosea walitakiwa wajenge shule Sana na vituo vya afya (huduma zamsingi kusali hata kwenye miti tungesali) ,wakatolic ilikuwa nilazima yeye mwenyewe alitokea tabora ambapo ni tawi la Vatican(mishenari)

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Uko deep... sikutegemea kujifunza mapya toka kwako [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Shule Gani hiyo, hapo akichoka jiwe likamtoka mkononi Lina muangukia kichwani
1. Dhehebu lipi linaweza kutoa rais Tanganyika? Ukatoliki na Uislamu au?

2. Hakuweka mfumo wa Fair play. SMZ haina dini kikatiba, lkn Mkristo wa dhehebu gani anaweza kuwa rais wa Zanzibar? Lini? Jaji Ramadhani alikuwa na sifa zote lakini jina lake liliishia Kamati Kuu tu huko.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Sasa wew unaomba ardhi ufanye uwekezaji kumbe una lengo lingine nani atakuelewa sheria haitaki hivyo
Uko sahihi kwasababu,kwasababu katika mkataba wowote hua na mambo mawili
(1)mkataba mkuu (umekubaliwa ardhi tayari )
(2)offsetting (mikataba midogo midogo ndani ya Makataba mkubwa/mkuu )
Hapa ndipo husikia tumekupa ardhi uwekeze hapa ,lazima wananchi wa eneo hili wanufaike na uwekezaji wako ,yes ndipo unasikia mwekezaji kajenga shule ,zahanati ,and nk ....... Lakini sio kanisa Wala msikiti (hapa nyerere alikuwa sahihi kuwatimuwa walitumia ardhi kuficha malengo Yao ambapo kama wangeamua wangefanya kama waomani sikuhizi ,wanatoa misaada ya ujenzi wa misikiti kutokea omani huko huko na inajengwa mingi mno .kama kisarawe ,morogoro humo balaa

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom