Mambo ya mujini!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Jamaa kaaga kwa mkewe Neema anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,..
siku ya kwanza akalala,asubuhi alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si akamuona jamaa yupo nje ya nyumba yake kavaa taulo
lake anapiga mswaki bila wasiwasi! akapiga ukelele, "Allo we nani?", Jamaa akajibu, "Ahhh mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu
demu kasafiri kaenda Songea huko,mi ndo navinjari hapa".Mume akajibu kwa uchungu, "Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea
nikikukuta nakuuwa"
 
Back
Top Bottom