Mambo ya mbagala

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Wakati watu wanagombania kupanda mabasi kama kawaida yao,bibi mmoja alipanda akapata siti bila shida
konda akamuuliza"bibi mbona unalia??"
bibi akamjibu "mjukuu wangu kwa miaka 25 niliyoishi mbagala sijawahi pata siti lakini leo nimepata"
konda akamwambia "nyanyuka hiyo siti ya dereva".
 
Acha hizo KK, abiria wa mbagala na ubishi wao wote, hakuna ambaye huwa anacheza na siti ya dereva, gari hata lijae vp siti ya dereva haiguswi. Mbagala raha jamani, huna haja ya kwenda gym, usafir wa umma ni mazoezi tosha
 
bibi ndo alikaa sasa,
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Haha hahaha, sio rahisi abiria tukakuangalia tu, tunakushusha ukakate leseni
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa;loooooooooooooooooh;
Lakini toa mkono huko we KK;Isije ikachomoka hiyo!!!
 
hii ni mizaha na utani, biblia inasema hukumu imewekwa tayari kwa watu wenye mizaha,

acha hizo tabia zitakukosesha na Mungu aliyekuumba na kukufanya uangamie au ukose baraka zake wakti ukiwa hai duniani
 
Back
Top Bottom