Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
Kula denda - tumetoa kwa njiwa.

Kulambana sehemu za siri - Tumetoa kwa Mbuzi na mbwa.

Kuwa na mke mmoja hadi kifo - tumetoa kwa njiwa.

Mwanaume na mwanake kusaidiana katika kulea mimba - njiwa wanavyoasidiana kulalia mayai

Style ya mwanamke chini mwanaume juu (missionary position) - tumeitoa kwa NYAU.

Ku - Hug na kukumbatiana - Tumetoa kwa SOKWE MTU.

Kumpa vizawadi mwanamke ili umvutie baadae umuoe au umle tunda kimasihara (KUHONGA) - Tumetoa kwa jogoo.

Kufanya mapenzi kwa kujifichaficha - NYAU

Kufanya harus na misiba (tunapoondokewa na wapenzi wetu) - tumetoa kwa Kunguru

Wanaume Kutelekeza watoto na familia -- Tumetoa kwa Bata na kitimoto.

ongezea...
nimekaa tu kijiweni najisahaulisha kama kuna janga la corona duniani na kuwaza mapenzi
 
!
tapatalk_1584605051986.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu ni kiumbe kilichoumbwa awali kabla ya hao wanyama wengine. Hivyo hatujawaiga labda hao wengine walikuwa wanawachungulia Adam na Eva kisha wakaiga toka kwao.
 
hahaha
kwa hiyo adam na hawa walikuwa wanakula denda. mbona wahenga wa kibongo wanasema eti ni mambo ya kizungu au wivu
 
Kula denda - tumetoa kwa njiwa.

Kulambana sehemu za siri - Tumetoa kwa Mbuzi na mbwa.

Kuwa na mke mmoja hadi kifo - tumetoa kwa njiwa.

Mwanaume na mwanake kusaidiana katika kulea mimba - njiwa wanavyoasidiana kulalia mayai

Style ya mwanamke chini mwanaume juu (missionary position) - tumeitoa kwa NYAU.

Ku - Hug na kukumbatiana - Tumetoa kwa SOKWE MTU.

Kumpa vizawadi mwanamke ili umvutie baadae umuoe au umle tunda kimasihara (KUHONGA) - Tumetoa kwa jogoo.

Kufanya mapenzi kwa kujifichaficha - NYAU

Kufanya harus na misiba (tunapoondokewa na wapenzi wetu) - tumetoa kwa Kunguru

Wanaume Kutelekeza watoto na familia -- Tumetoa kwa Bata na kitimoto.

ongezea...
nimekaa tu kijiweni najisahaulisha kama kuna janga la corona duniani na kuwaza mapenzi
Zile KELELE tunazopiga NAKOJOWA NAKOJOWA tumeiga kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom