Utamu wa tendo la ndoa kwa mwanaume hutegemea mambo makuu matano

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Mambo hayo ni:
(i) Matamanio ya mwanaume dhidi ya mwanamke wa aina fulani. Kibaiolojia kila mwanaume yuko tayari wakati wowote kushiriki tendo la ndoa na mwanamke wa aina yoyote ile ukilinganisha na mwanamke

Ingawa mwanaume yu tayari kufanya mapenzi na mwanamke yeyote yule, kuna aina ya wanawake ambayo humfurahisha na kuumudu uhai wa tendo hilo, pia kuna aina ya wanawake ambayo mwanaume akifanya nao mapenzi hatolifurahia, ama tendo halitompatia starehe / pumziko ambalo ametegemea

Macho ya mwanaume huvutiwa na mwonekano fulani wa mwanamke, hapa kila mwanaume huwa na mwonekano anaoupendelea. Wengine hupendelea sura nzuri ya mwanamke, wengine hawana haja na sura, bali hutazama choo, wengine hawana haja na choo, bali hupendelea u-modal wa mawanamke, wengine hawajali yote hayo hupendelea wanawake vifutu. Utamu wa tendo hunoga zaidi kutokana na kategoria ya mwonekano wa mwanamke husika

Kingine ni katika suala zima la tabia, matamshi na namna matamshi yanavyotamkwa na mwanamke husika. Kuna wanaume ambao wakianza kisikia neno Hela kwenye mdomo wa mwanamke hata kama awe anazungumza na jirani, mwili wote hufa ganzi, mfano mimi. Kuna wanaume ambao wakisikia sauti ya kukalipiwa inapoteza matamanio. Mfano Lafudhi ya Kikurya kutoka kwa mwanamke. Wengine hawapendezwi na wanawake ambao wamelegea sana kwenye matamshi i.e Sexual Talking, kwa kuhofia kupigwa na vitu vizito kichwani

Mambo mengine manne ambayo nimekosa muda wa kuyachambua ni haya yafuatayo:

(ii) Ugumu na ubishi wa mwanamke katika kumshawishi umvue kyupi muwapo kwenye chumba cha mizagamuano

(iii) Uchojoaji wa nguo za mwanamke hasa hasa during First Dating Sex, na hii ndio sababu kuu ya mapenzi ya awali kuwa matamu kuliko penzi kuu kuu

(iv) Sauti za mahaba kutoka kinywani mwa mwanamke i.e ukelele, mayowe ama kilio

(v) Mnyumbuliko na mwondoko wa mwili wa mwanamke. Yaani mwanamke ambaye mwili wake unakwenda sambamba na mwondoko wa mkuyenge, pia mwili wenye kukubali mikao tofauti ya tendo, mwanamke asiye msumbufu ama mlalamishi katika suala zima la matumizi sahihi ya muda kiumeni

Nakaribisha Maswali...
 
Nilikusudia kuleta uzi huu hapa chini,

HIVI KUNA UKWELI WOWOTE KWENYE VILIO VYA MAHABA VITOLEWAVYO NA HAWA DADA ZETU?

Inafikia wakati hali inakuwa too much. Nowdays sio vilio tu, tunashuhudia mpaka mayowe! Just imagine somebody with three babies anapiga ukunga kana kwamba nyembe zimepitishwa mbususuni. Dah! Inakatisha tamaa aisee

Just imagine, mwenzenu na kijidushe chenye 1.8 inch once erect, napigiwa ukunga kiasi cha wahudumu wa nyumba ya kulala wageni kuja kujua kipi kinaendelea! Kanidharirisha sana aisee!

Mke mpya wa jirani yangu huangua ukunga usio na kifani kiasi cha kufanya mwili wangu ushindwe kupata usingizi, hii ni haki kweli!!!? Mayowe kana kwamba ndogo inanyofolewa. Duh!

Kwa hili suala tunapigwa jamani ndugu zanguni. Na ndio maana nikikutana na mwanamke akaanzisha vilio, mkuyenge wangu hunywea papo kwa hapo

Kwenye hizo kelele tunapigwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom