Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 733
Hivi mnakula bata kipindi hiki kigumu cha kampeni!...huh!
kwani haiwezekani?
Na swaumu yote hii?
Bradha, sio kila mtu kafunga! Mie napata supu ya mbuzi hapa muda huu.
Poa Kiongozi! Mi napata MTORI karibu..
kula bata ndo nini?...naomba wajuzi mnijuze hilo