MIHULU
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 490
- 701
Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza?
NB: Afande Tesha ametumika kama Chambo kumtoa POLE POLE Mafichoni?.. make baada ya yeye kutoka hadharani na yeye wangu wangu akaruka, hewani kumbe tayari alikua kwa rada