Mambo ya kikuku kinaashiria nini??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
kikuku.jpg hebu_ona.jpg
 
Mitimingi

Member
Oct 25, 2010
13
0
Kwa zamani ilikuwa inategemea ipo mguu gani .....na mostly hiyo illikuwa zamani siku hizi ni urembo zaidi....Hence usiende huko kwenye kwenye dunia ya leo ukamvaa binti na wazo hilo la tigo etc....
 
upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
0
2 in 1 wakuu maana yake :nono:
Conquest-asali ailambwi mara moja.
 
sister sista

Member
Jan 6, 2010
71
0
.........wanaseme eti TIGO ruksa.

hakuna kitu kama hicho huu ni urembo tu na kama ukifuatilia mila na tamaduni mbalimbali wanavaa ni design tu zimepishana na ni urembo zaidi lakini miaka ya kati hapo wajuaji wa tanzania wakaanza kumaanisha hivyo sisi ni maarufu wa kuharibu asili ya vitu.na kwanini watu wengi wamejawa na fikra za kizinzi tu muda wote>?kwanini usifikirie labda hii ni mila ya kabila gani au originality?i hope mtoa thread hakumaanisha huku watu wanakojibu:A S angry:
 
Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,841
1,225
hakuna kitu kama hicho huu ni urembo tu na kama ukifuatilia mila na tamaduni mbalimbali wanavaa ni design tu zimepishana na ni urembo zaidi lakini miaka ya kati hapo wajuaji wa tanzania wakaanza kumaanisha hivyo sisi ni maarufu wa kuharibu asili ya vitu.na kwanini watu wengi wamejawa na fikra za kizinzi tu muda wote>?kwanini usifikirie labda hii ni mila ya kabila gani au originality?i hope mtoa thread hakumaanisha huku watu wanakojibu:A S angry:

Lisemwalo lipo ................... ??????
Pole kwa usumbufu bibie.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom