Nimetembelewa na mgeni aliyevaa kikuku miguuni

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,883
16,798
Wakuu leo nimetembelewa na bint mmoja tulipotezana mwaka saa basi juzi katika kupitia phone book yangu nikaona namba zake nikamtumia msg na akanijibu na Kisha tukachati chat na kuniambia bado yuko Ddoma.

Basi leo nimemualika aje anitembelee bila hiyana amehitikia wito na yuko hapa sasa hivi tuko nae hapa. Kilichonisikitisha amevaa kikuku miguuni mwake.

Je, uvaahaji wa vikuku kuna maana gani kwenye jamii kabla zoezi la pili halijafata la uchakataji.

Ila wanawake wanakosa wanaume HIVi unamuendeaje mwanaume na vikuku mm nilitaka kumfanyia tathimini Ila kwa vikuku HV hapa kwa Kweli atabaki hvyo hvyo

Sent from my German technology
 
Wakuu leo nimetembelewa na bint mmoja tulipotezana mwaka saa basi juzi katika kupitia phone book yangu nikaona namba zake nikamtumia msg na akanijibu na Kisha tukachati chat na kuniambia bado yuko Ddoma.

Basi leo nimemualika aje anitembelee bila hiyana amehitikia wito na yuko hapa sasa hivi tuko nae hapa. Kilichonisikitisha amevaa kikuku miguuni mwake.

Je, uvaahaji wa vikuku kuna maana gani kwenye jamii kabla zoezi la pili halijafata la uchakataji.

Sent from my German technology
Nipe huyo mimi napendaga mademu wenye masham sham
 
Back
Top Bottom