Swali hapa je unafikiri watu wenye 'akili saana' au 'wasomi saana'
wanakuwa zaidi na appetite ya 'strange sex'??
Harvard Gives BDSM Sex Club Official Campus Recognition
Hard to tell.
First we'll have to define what is strange sex.
Secondly, strange per who? Who sets that standard?
Thirdly, if there is strange sex that means there is also normal sex.
So what is normal sex?
And is there any 'sex' that is in between normal and strange?
If so, what is it?
Haha haa NN haya maswali yako ni very interesting...
lakini wewe umechukuliaje hii club ya wanafunzi hawa?
mfano we ni mzazi na mtoto umemlipia pesa ndefu huko Harvard...
hutashikwa na wasiwasi wa huyo mtoto kurudi 'amejifunza' menginee kabisaa?
ukichukulia jinsi watu wa Harvard walivyo 'vichwa'??????
Ya ajabu?
Hapo ndo NN atakuuliza ya ajabu according to who?
enh ndio wanadiscuss!Kwani watakuwa wana'do' au Wanakutana kudiscuss tu?
Ili mradi hawaumizani basi acha wafanye kile ambacho wapendacho.
Wote si ni watu wazima bana. Halafu huko vyuoni kunakuwa na unfettered freedom.
Kwa hiyo ukiamua kumpeleka mwanao huko kwa kiasi kikubwa unakuwa umempa hiyo freedom.
Sasa kama hutaki ajifunze mambo kama hayo huko kwa wenzetu kuna hadi colleges ambazo wanafunzi hu-sign 'no sex-pledge'. Mpeleke mwanao huko.
Harvard na hizo Ivy Leagues zingine ni colleges ambazo ni extremely liberal.
mule mule tu!ikija kwenye swala la raha ya mwanadamu walahi sishangazwi na lolote!
pesa utafute kwa manati hata raha ya jinsia nayo iwe kwa ngama!mradi ndo wanaskia raha POA TU!
Kumbe wachungaji na mimi muumini
wote sisi ni 'vichwa vya Harvard kabisa' lol
Mchungaji wa Kinaija kummega dada mgumba huku akimlisha neno na kumwaminisha hiyo ndiyo tiba ya ugumba wake siyo ajabu?
enh ndio wanadiscuss!
wanadiscuss styles
wanadiscuss nani hatoi mipwenti
wanadiscuss nani anategea
wanadiscuss nani mkali wa point
basi mradi tu ni zaidi ya seminar presentation!mweh!
mule mule tu!ikija kwenye swala la raha ya mwanadamu walahi sishangazwi na lolote!
pesa utafute kwa manati hata raha ya jinsia nayo iwe kwa ngama!mradi ndo wanaskia raha POA TU!
mupenzi wako wa biblia hukubali na namba yake !walahi angekuwa bonge la mwanachama!ambacho ningempendea ni vile angelazimika kutumia realia ili wanachama tuelewe vizuri!lolTunaweza anzisha hiyo group for research..lol
wadada wanaopenda 'sex huku na maombezi ya kinigeria ....lol
na labda kuna club tayari hatujui lol