BIA BORA
Senior Member
- Oct 21, 2013
- 144
- 164
Leo nimeusikia wimbo wa "Nothing gonna change my love for you" nikakumbuka sana swala la DEDICATION wakati ule tunatumiana Barua secondary.
Ebu tukumbushane wimbo au nyimbo gani ulipenda sana kuziandika kama dedication kwa PENIPAL wako a.k.a mpenzi wa secondary
Binafsi namkumbuka binti mmoja pale kilakala, wakati nikiwa VIAPAJI MAALUMU (NARUDIA VIPAJI MAALUMU) MZUMBE nyimbo nilizomdedicate hasa ni;
Nothing gonna change my love for you - George benson
careless whisper - George Michael
computer love - zapp n rogger (kimsingi nilikua sijui maana hasa ya neno computer, ila nilipenda tu neno LOVE, na bit za wimbo huo)
Hebu tujuzane sasa