Rudia Ku attach plizi
Alisikika MLEVi Mmoja akisema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo zoezi lingenishinda
Huo ni kweli kabisa mi ningewaambia tu yanini ku pretend ni wanaume wachache wanapona hayo majaribuAlisikika MLEVi Mmoja akisema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vigodoro havina masharti kama hayo. Kwamba mnara usiinuke.Mbona vigodoro ni zaidi ya hiyo
Mshana Jr mbona hii mila ipo kinyume kabisa?!!! Yaan hapo akisimamisha ndio amefeli au sikufaham? Mi naona kama hajasimamisha iwe ndio hafai
Huko ni kigodoro na baikoko