Kumbuka ombi languNdio nimeingia mjini uko wapi?
Mkuu we ndo umepaki hiyo Passo hapo?
Nilikua pembeni ya hiyo pub juzi jumamosi, kusaka msosi. Pembeni pana kimgahawa cha mososi. Nilishangaa kuona jina hiloNdio nimeingia mjini uko wapi?
Ok, asante kwa kumbukumbu.Sahihi kabisa ule mgahawa unaitwa D's