Mambo ya bongo movie hayo

Muvi inachezwa ndani ya nyumba mpaka mwisho alafu wakati inaanza ushajua mwisho wake kwamba wataachana,atafilisika,atafukuzwa kazi au atakua tajiri aise hizi muvi ata wenyewe wanaoigiza sizani kama wanapata muda wa kuzitazama kazi kweli kweli.
 
mkuu hiyo kali
 
ndo maana sipendi kuangalia bongo movie, na mheshimiwa ndo anataka tuangalie kwa nguv bila kupenda
 
Huyu jambazi pengine alitumwa na mrisho mpoto usikute kaja bila hata viatu.Bosi wake aliemtuma havaagiviatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…