Mambo ya bongo movie hayo

Halafu angalia macho yake kwa umakini,kweli jambazi anamlenga mtu kwa risasi halafu macho yake yanaangalia kwingine?
Hahahaaaaaa

Acheni tu nifanye birthday ya kutimiza miaka 7 ya kuangalia series za Kikorea na siziachi.
Series gani inabamba sasa hivi? Nishaachana na huo ujinga siku nyingi sana
 
Si mchezo jamani jambazi kavua viatu mlangoni
View attachment 4
Majambazi ya koromije huwa yanaheshima yanakusalimia vizuri tu kabla hayajakukaba yakishakukaba yanakuaga na kukutakia siku njema

Kingene wanachosema kwenye bongo movie jini kama linataka kuvuka barabara linaangalia kushoto na kulia lisije kugongwa na gari
 
Halafu angalia macho yake kwa umakini,kweli jambazi anamlenga mtu kwa risasi halafu macho yake yanaangalia kwingine?
Hahahaaaaaa

Acheni tu nifanye birthday ya kutimiza miaka 7 ya kuangalia series za Kikorea na siziachi.
Tutakukamata tuu,na tunaanza msako wa nyumba kwa nyumba kusaka hizo video za njee,(in bashite voice).viva koromije vivaaa
 
KWA UMBWANDA HUO SI ACHI KUTAZAMA ZA KIKOREA LABDA WAIFUNGIE YOUTUBE WAKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…