Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
Mbona mimi sijaandika hivo?Au unanichanganya na mtu mwingineKwani Allahu Akbar maana yake Nini?... Maana yake Mungu Mkubwa.. ukivyotaja jina la Mungu nikastuka...Au ulijisikia kuandika usichokijua Citizen B
Sent using Jamii Forums mobile app