Mambo ya ajabu niliyoyaona Msumbiji (Mozambique)

Mambo ya ajabu niliyoyaona Msumbiji (Mozambique)

Ndugu Yangu umezidisha chumvi,Niko hapa msumbiji toka 1997 Rais akiwa chissano.naijua vizuri msumbiji,Huku hatuzumgumzii wanawake weupe sema makaradi,mchanganyiko wa Wareno na Waafrika.Kumbuka hapa Mreno amekaa miaka 500 na lengo lake alikuwa anataka akiangamize kizaza cha mtu mweusi,kwa hiyo formula waliokuwa wanaitumia kama wewe mwanaume wa kileno popote ulipo ni kuzalisha tu awe Binti au make wa mtu.Kiasi kwamba kunamakaladi wengi sana,na hawa mabrack bado wanachembechembe za damu nyeupe.Familia nyingi zina undugu pande mbili Ureno na Mozambique,yaani mfano hai mreno aliyekuja mwaka 1900 kuja kufata pembe za ndovu,zahabu na mbao kule ureno aliacha mke na watoto,alipofika hapa akaowa mwanamke wa kiafrica , kwa hiyo unakuta Ureno na mji na Mozambiki ana mji,lakini wengi walibezi kwa wanawake wa kiafrika.Hawa nao wanawake walikuwa wakishapata watoto wanawauwa mabwana zao kwa ushirikina ili wabaki na mali,na upande wa wanaume wa kireno wao w alikuwa wanathamini watoto zao,kuliko mama zao,hata kama ana Mali mfano dhahabu atachimbia chini anamuita kwa siri bila mama yake kujua kwambi nakuachia Mali hii ukiwa mkubwa itakusaidi.nazani naishia hapa niulize chochote kuhusu mozambique
 
Majina yote hayo sawa tu,namshangaa anayesema mwanamke mweupe huku dili,kwanza hawa hawajui kujichubua kama Dada zetu wa kibongo,sema ni Malaya,huku kukuta mama amechanganyia watoto kitu cha kawaida,na kuoa na kuachana sawa.na wako free sana halafu hawana wivu,hakuna mambo ya kufumaniana kama bongo.Siku ya ijumaa au wao wanaita Sexta fera ni siku ya wanaume dia de home akiondonda kwenda kwenye starehe kuludi
mpaka kesho mwanamke haruhusiwi kulalamika
 
Back
Top Bottom