spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
uuuuupi pole yako wewe unakataa wakati wenzio wanahonga magari,viwanja na kutoa cheque.
umri utaenda na lazima utaoa tu.
Unagharamia avatar au mambo mengine?
Naona unashindwa kuelewa bi mkubwa...
asante kwa kunirekebisha
umesema vzuri nami nikipata sio nakupa sema tunatumia kwa maana ni mwili mmoja
cc spade4spade
Nyie ndio mnanifanya niendelee kujificha na kuwaogopa kuliko ukoma! Anyway, acha tu mimi nikae, sitaki tena hayo mavitu yenu!
Bora uendelee kutuogopa tu....tahadhari kabla ya hatarii
mwanamke wa jf alibadili maisha yangu.
Basi mi mnikopeshe tu jamani! Ntalipa
Na nyinyi munapenda sana kupikiwa na kufuliwa nguo, nani amesema hayo ni majukumu ya mwanamke? Au ndiyo mazoea unayozungumzia kwa upande wa wanawake tu wa kutaka hela?
Kwahyo hela unayoomba ni malipo ya kunifulia?
Yaani nipe nikupe. Kuna vitu nitakufanyia na wewe utanifanyia, hakuna malalamiko hapo.
Wewe uliangalia upande mmoja tu wa kutoa hela.
Weee tukukopeshee o tukuhonge?
Kwanza nimeghairi hadi mnibembeleze!
Point of correction...wanawake tuache kujifanya sisi ni victim sana wa mahaba...ili kuondoa mfumo dume,sasa kama ngono mlifurahia wote,hukubakwa...ndio ulikuwa seduced lakin si ulifurahi?sasa ulichezewaje?si nawewe ulimchungulia?Wanaume ni viumbe kama sisi,na sisi tunawahitaj kama wanavotuhitaji...mimi sio mdoli siwez kuchezewa na nkikupa usijione super koz nimeumbiwa mwanamme sio toys.Mwanaume tangu lini akachezewa?..labda kiuchumi sio kimwili
Point of correction...wanawake tuache kujifanya sisi ni victim sana wa mahaba...ili kuondoa mfumo dume,sasa kama ngono mlifurahia wote,hukubakwa...ndio ulikuwa seduced lakin si ulifurahi?sasa ulichezewaje?si nawewe ulimchungulia?Wanaume ni viumbe kama sisi,na sisi tunawahitaj kama wanavotuhitaji...mimi sio mdoli siwez kuchezewa na nkikupa usijione super koz nimeumbiwa mwanamme sio toys.