Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,771
Reaction score
4,491
i) Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi, hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.

ii) Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.

iii) Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu, ukidate nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...

iv) Mwanamke kujilipia mahari ili tu aolewe inakera sana, wapo wanawake wa hivi, anampa mwanaume pesa ili akamlipie mahari hii haileti heshima yoyote ile ndoani.

v) Kujifanya wanamisimamo kumbe hakuna kitu, ni fungu la kukosa!!
 
~Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi.

hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.

~Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.

~Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu.
uki date nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe.
hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...

~nitaendelea.....

Na nyinyi munapenda sana kupikiwa na kufuliwa nguo, nani amesema hayo ni majukumu ya mwanamke? Au ndiyo mazoea unayozungumzia kwa upande wa wanawake tu wa kutaka hela?
 
Tembosa ile story yako iliishiaga wapi jamani?
 
Last edited by a moderator:
Hata nyie nwdayZ wanaume mna kamsemo hako ka kuchezews
 
~Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu.
uki date nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe.
hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...

~nitaendelea.....

😀😀😀 hapa umelenga hasa, tena utakuta yeye ndiyo mkali kwa styles na manjonjo mwisho wa siku wanalalamika kuchezewa.
 
~Kuomba sana pesa hata kama na yeye ana kazi.

hii imekuwa kama mazoea kuwa mwanaume ndiyo mtoa pesa in all life aspects.
hii siyo sawa maisha ya kusaidiana ndiyo yaletayo furaha na mafanikio maishani.

~Kulalamika sana akigundua mpenzi wake ana mchepuko, wakati na yeye mchepuko anao zaidi ya mmoja.

~Kujiona kuwa wao ndiyo wanaochezewa tu.
uki date nae, mara nyingi utasikia, usikute unanichezea tu! kwani unachezewaje? mauno unakata mwenyewe style mbalimbali unabuni nwenyewe.
hii kauli ya "usikute unanichezea tu" ifutwe...

~nitaendelea.....

Eee jidanganye uwe mkono wa birika uone ka kuna demu atakukubari
 
Back
Top Bottom