Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Kujinunisha ,Uchoyo ,Ubahili ni shida unaweza kukuta mwanaume hata kukupigia simu hawezi yeye ni kutuma mamessage tu wee kila mara ukimpigia akikuta call yako anakutumia sms tena bby , love call me back jamnai hata kuweka crdt ya shillingi elfu moja ni shida . Kuna wanawake wanapambana kutafuta pesa lakini kuna muda mambo huwa yanakwama muda huo basi mpenzi au mume na wewe umplay karole kako hata kidogo bado shida hii ni kero kweli Miss Chagga
umenifurahisha sana mmmmh siongezi neno
 
Back
Top Bottom